Kupiga lap

🇰🇪 Kenya
Added August 10, 2025
TOP DEFINITION
Kuzunguka chuo (To walk around campus)
"Twende tupige lap tuone wasupa (Let's walk around campus to see girls)"
by Khulekani Dladla August 10, 2025
0
Kutembea (To walk around)
"Twende tupige lap tao (Let's walk around town)"
by Khulekani Dladla August 10, 2025
0